Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu.
Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
Direct to point
Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Mzuka Wana jamvi.
Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili
NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema.
Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru.
1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala.
2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake.
3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano
1. Bilal bin Rabah (R.A)
Aina ya Mateso:
Kupigwa vibaya.
Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku jiwe kubwa likiwekwa kwenye kifua chake.
Kupigwa mijeledi.
Aliyemtesa:
Umayyah bin Khalaf...
Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja,
Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa wakati huo ni usipokubali kuipokea basi hutapata misaada popote katika nchi za kibeberu, mnyonge...
Hatima ya dhamana ya Boniface Jacob "Boni Yai," itajulikana leo, Septemba 23, 2024, wakati Mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya Serikali ya kuzuia dhamana yake. Boni Yai alikamatwa na kuletwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambapo alikabiliwa na mashitaka mawili...
1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina.
2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina.
3. Kabla ya Ufalme wa Ottoman, kulikuwa na dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, sio taifa la Palestina.
4. Kabla ya dola...
Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu .
Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ?
Tujiandae kisaikolojia
Kuna mambo unaona yakiondolewa ccm wanaweza kukosa madaraka.
Mfano swala la bima za afya zilitakiwa kuwa bure hivi kuna mtu anashindwa kulipa bima kwa mwezi shilingi 4000.
Tupo wangapi tanzania?.
Kuondoa kodi ambazo hakuna faida yoyote zaidi ya wao kujinufaikia tu mfano. Kodi za bandarini...
Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa!
Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama”
“Mbowe ni Alfa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
UTANGULIZI
Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia.
Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora.
Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi.
Tawala Moja wapo ambazo...
Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu.
Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo mfano tunabidi tuwe nashule za vitendo kwa watoto wetu wajao kwa kugundua vipaji vya watoto ili...
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu.
Binafsi nimetambua dhamira ya uwepo wetu katika hii dunia ni kutafuta namna ya kupambana na mazingira ili kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.