Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.
Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?
Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la...
Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
Ni tukio la kushangaza kidogo.
Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka!
Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.