Mosi,wanaanza kukumiss pale wanapokosa mtu mbadala wa kuchukua nafasi yako
pili, hauwezi kuwa imara siku zote,kuna siku huwa na uzuni na upweke pia,kwahiyo usiogope kulia,lia na utoe huzuni moyoni mwako
Tatu,hakuna mtu ambaye yupo bize kwa mtu ampendae,itategemea umewekwa namba ngapi kwa...
Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!
(1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa, asipokusaidia basi vumilia, msome taratibu, angalia mambo mengine katika mahusiano na si kuhusu...
Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata .
Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF .
Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali...
MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI
Thread 🧵 👏
1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo).
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya...
Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi.
Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali.
Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika...
Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo.
Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA
Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama sio kuliondoa kabisa. Wasomi kwa sasa ni wengi na kila mwaka wanaohitimu vyuo kwa ngazi mbalimbali ni...
Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi.
1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU
Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
Mtoto anapofikisha miaka 10 unatakiwa uwe umemfundisha tabia nzuri wakati wa Chakula (Table manners). Tabia hizi huweza kumsaidia miaka ya baadaye akiwa kwenye mikutano muhimu inayoambatana na chakula
Hakikisha anajua namna ya kuzungumza na Watu hasa ana kwa ana. Zaidi ya nusu ya Vijana wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.