Jana niliweka uzi wa kuomba ushauri hapa kuhusu mtu alienipenda halafu kanizidi umri, ndugu jamaa na marafiki wakasema yao humu kuna walioniita mjinga, walionitukana na wakanisema vibaya ndgu zangu kwanza naomba mtambue.
1. Mimi sijampenda huyo binti ila yeye ndo alinitafuta na kutaka mahusiano...