kuzaa na mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usizae na mtu kama haujajiridhisha vigezo vyako

    Kila binadamu ni mbegu, ukizaa na mtu tegemea hao watoto wako watafanana tabia na muonekano sawa na uliyezaa naye hadi uwezo wa kiakili.. kabla haujafikiria kuchanganya damu na mtu hakikisha umejiridhisha kila kitu kuanzia tabia , muonekano wa huyo mtu na uwezo wa kiakili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…