kuzaa nje ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

    Katika ujana wangu, nilikuwa mlafi sana; nilikuwa nikiona tu pisi kali inayoshawishi na kuuteka moyo wangu, nitaanzisha naye mahusiano na hatimaye tunajikuta tayari tuna mtoto; ingawa tangu mwanzoni huwa nawaambia mimi ni mme wa mtu,lakini wao hawajali. Hii imenipelekea kuwa na watoto 6 nje...
Back
Top Bottom