Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.
Naombeni msaada kwa anaye jua
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji
Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's
👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni
u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10.
Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na mjukuu wake, Makutano Sadick, diwani huyo alianza kuugua kisukari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.