kuzalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

    Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu. Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic) Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa...
  2. Hawa watoto wa kike ambao wanapewa mimba na kuzalia kwao ndo wanakuza umasikini katika familia

    Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote Unazaa mtoto then hujui nani...
  3. Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

    Ukizalia nyumbani faini elfu 30. Huku vijijini tunanyanyasika sana. Watu wa Dar mtusaidie kupaza sauti!!!!!!
  4. Kuongezeka kwa Wimbi la wanawake kuzalia nyumbani (kuzaa kabla ya kuolewa)

    Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa. Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na 1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa, 3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya...
  5. Aliniambia hawezi kuzalia kwao kabla ya ndoa

    Amani iwe nanyi? Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao. Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…