Ni kweli ni ubunifu lakini kutangaza jambo kama Hilo hadharani inaleta ukakasi na sio sawa kimaadili.
Ubunifu huo ungeendelea hivyo hivyo kimya kimya Ili kuwastahi mama zetu.👇👇
======
KONDO LA NYUMA LA AKINAMAMA KUZALISHA GESI YA KUPIKIA ; DKT. MOLLELNa. WAF, DodomaNaibu Waziri wa Afya...