Habari,
Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya?
Kusoma kwa kuungaunga na ukimaliza kazi hamna, na kama ukipata kazi ukoo mzima unakutegemea na bado hujaanza ku-settle...