Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.
Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa kujitumisha meseji. Haya mambo kwene umri wangu si sahihi maana nilifanya huko nyuma wakati na balehe na...
Wadau, habari zenu.
Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo.
Sasa kisanga kikaanza, siku moja tukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.