Gari aina ya Noah (old model – SR40) inakuwa kama inatetemeka /kushtuka na kuzima ikiwa inatembea kwenye mwendo mdogo (RPM ikiwa chini ya 1,000).Inatokea mfano ukisharuka tuta wakati wa kukanyaga mafuta. Ikizima unawasha na unaendelea na safari. Ukiwasha ‘’silensa’’ ipo vizuri na hakuna ‘’misi’’...
CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo.
Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo.
Source: CNN
Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa.
Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na polisi defender kem kem kutoka sehemu zote za Tanzania.
Vijana wamekula posho kwa kusikmama kwenye...
Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho.
Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa.
Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa.
Polisi kuwahi Mbezi na Buguruni mapema na kupiga virungu kila atakayefika hapo hususan vijana...
RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023.
NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
Peace be upon ya'all,
Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba.
Next day shedule yangu ilikua tight...
Sokabet unapoweka mkeka wako mechi moja imebaki alafu haieleweki mambo yamekua ya moto unaweza kutoa Pesa( cashout) kabla mkeka haujaungua wote....SOKABET bana AMUA USHINDI wako......SOKABET TABULELE NA MAOKOTO RAHAAAA
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.
Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa...
Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023
Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika
Mikoa mingine ni Dodoma...
Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume.
Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
Mshumaa uendao kuzima na kupelekea giza nene kwenye nchi yetu ya Tanzania,ni nani wa kuwasha mshumaa huu? Na je ni nani wa kuleta nuru mpya kwenye nchi? Na nini kifanyike kufanya mshumaa huu kung'ara tena na kuleta mwangaza tena kwenye nchi yetu.
Uzalendo unaenda kupotea kwenye nchi yetu sawa...
Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa.
Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini?
Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??
Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.
---
aibu
dhahiri
goli
kubwa
kuona
kutoa
kuzima
kwao
madaraka
magufuli
matatizo
mdogo
mechi
milioni
milioni 10
mkapa
nguo
samia
siku
taa
taifa
umeme
uwanja
uwanja wa taifa
wahuni
wazee
yanga
Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
Enyi viongozi wa vyama na wanasiasa,
Nataka niwaambie ukweli mchungu:
Mpaka sasa hakuna chama kilichojipambanua kuwakilisha mawazo ya wananchi wengi,
Kama wananchi watapiga kura 2025 watapiga kura za visilani tu, usishangae hata vyama visivyopata kura nyingi vikapata kura nyingi kuliko wakati...
Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Dar es Salaam, (DAWASA) imetangaza kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Chini uliopo Wilayani Bagamoyo kwa saa 36 Jumatatu 30 Januari 2023
Kwa mujibu wa DAWASA, lengo la uzimaji huo ni kusafisha mifumo yote ya Mtambo ikiwemo Machujo, Matanki yote ya Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.