Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.
Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo.
Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
=======
Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
Wakuu
Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa.
Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza figisu za kutuminya kipindi cha Uchaguzi.
Sijui alikuwa na wasiwasi wa nini?
Uchaguzi mkuu ulivyofika...
Katika muongo uliopita, serikali barani la Afrika zimeendelea kushika madaraka kwa nguvu kwa kudhibiti haki za binadamu mtandaoni na nje ya mtandao.
Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora, watu katika nchi kadhaa wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii ambayo yamekuwa...
Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo. Wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kudhihirisha hisia hizo.
Sasa hofu yangu kwa sasa ni juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.