Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
=======
Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...