Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe...
Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni...
Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa
Suala...
Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
Habari wanajukwaa,
Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka.
Nimejaribu kutafuta solution Google Bado hazijanisaidia kwa Mwenye ujuzi wa Jambo hili au aliyewahi...
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020.
Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...