Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka niende kwa fundi nakutana na watu wengine wanajadili mtandao kuzimwa.
Kuingia Jamiiforum ikashindikana...