Salaam, shalom!
Mwili unaonekana, NAFSI ,akili na Roho havionekani ila vipo ,Volcano chini ya ardhi inaonekana, kuzimu ya moto IPO ,haionekani Kwa macho ya nyama. Lava IPO inaonekana, pia kuzimu IPO ila havionekani Kwa macho ya nyama.
Kuzimu Kuna moto, mtu na asikudanganye kwamba mwili wako...
KANUNI YA MTETEMO/PEPONI VS
KUZIMU
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
🗣️Hakuna kinachopumzika, Kila kitu kinajongea, Na kila kitu Kiko kwenye mtetemo/kinatetema.
✍️Kila kitu kwenye huu ulimwengu kina jongea, Iwe wanyama, sisi na hata zile object ambazo Zina masafa ya...
CHADEMA NI MARHUMU IBN KUZIMU?
Anaandika Mo Mlimwengu.
Waliamini lila na fila vinaweza kukaa pamoja wakapingana na wahenga waliosema havitangamani. Kila kitu kipe muda sasa hivi yako wapi? Huku kwetu huwa kuna msemo mmoja kwamba ' Enjobe erafa tehurila rukuli" kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni...
Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
PROFESSOR JAY.
MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/
Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/
Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/
Wote wana haki sawa sio tu mnawatelekeza/
Nikipatwa na hatia sio kwamba nipate mateso/
Magereza ni chuo cha nidhamu mtu ajifunze ya kesho/...
Salaam, shalom,
Tuendelee na MADA zamivu katika masuala yasiyoonekana Kwa macho.
Usilolijua, sasa tunaishi wakati ambao MUHURI wa nne umekwisha Funguliwa, kuzimu imeruhusiwa kuja Duniani kuvuna Roho za wakaao duniani theluthi Moja,
Unashangaa Bado watu wanaenda kwenye mabaa na kununua Malaya...
USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha Wilson Magubila kwa Neema aliojaliwa na MunguKwa kipindi cha masaa 23, binti mdogo wa ki-Ecuado aitwaye...
Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu.
Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote?
Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari
Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
Hii ni makala ya yule msichana wa kule Ecuador aitwaye Angelica Zambrano. Huyu alichukuliwa na kupelekwa Mbinguni na Kuzimu.
Kule kuzimu aliwakuta wasanii mbalimbali, akawakuta viongozi wa dini. Yaani yule mtu mliyemwamini sana, naye akakutwa huko. Tutaisoma yote. Ukiingia mitandaoni ipo ya...
INTRODUCTION.
Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.
MBINGUNI ni makazi ya Walio hai.
KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu.
Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho...
Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
Wakuu,
Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku.
Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
Moto unaowaka Kherson siyo mdogo, yaan sijui watu wanapataje data za waliokufa ,na vifaa vilivyoaribika.
Mahojiano yalifanywa kwa wanajeshi 7 wa Ukraine ambao walipata majeraha na wako katika uangaliz wa kiafya.
Mambo waliyofichua ni mazito, wanadai kiukweli hali ya vita Kherson ni kama...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na wimbi kubwa la Imani potofu ambayo watu kutoka nje ya kisiwa Cha Pemba wanaifanya iendelee kuota mizizi siku hadi siku. Hiii ni kutokana na baadhi ya watu kuamini kuwa Pemba ndio kitovu au zizi la itikadi za matendo ya kishirikina hali ambayo imekuwa...
Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii.
1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania kimyaaa!!! Sri Lanka na Sudan wameweza
2. Mwgulu amewahi kutoa kejeli kwa watanzania kuwa asiyetaka...
Kwema Wakuu!
Leo nilikutana na Mzee mkongwe ambaye mara ya mwisho kuonana ilikuwa 2017, aliponiona akanichangamkia Sana huku akatabasamu, nami nilifurahi Sana Kwa maana huyu Mzee licha ya umri kusonga lakini akili yake bado ilikuwa na nguvu, baada ya kusalimiana Stori za hapa na pale zikaanza...
Habari Wakuu!
Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii.
Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania?
Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.