Habari za jioni wakuu wa baraza, nina swali kwenu, hasa wale wanaoishi na wenza wao au wapenzi. Mwanzoni, penzi likiwa jipya unaweza hata kufanya mapenzi mara mbili kwa siku au kila siku.
Ila kadri muda unavyozidi kwenda, unamzoea mwenzako kiasi kwamba hata wiki inaweza kupita hamjafanya kitu...