kuzua taharuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

    Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana! Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini? Taarifa kamili hii hapa "Kufuatia uvumi...
  2. J

    Boniface Jacob, Malisa watua Kisutu kufuatilia kesi inayowakabili, yapangwa Agosti 29, 2024

    Mfanyabiashara na mwanasiasa Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa na baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa katika viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumanne Julai 30, 2024 jijini Dar es Salaam. Boniface mkazi wa Mbezi Msakuzi Dar...
  3. Mlalamikaji daily

    Bank ABC yauzwa kwa acces bank na kuzua taharuki kwa walioomba mikopo

    ABC wamerusha taulo, Na kuuzwa kwa access bank, Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1, Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti, Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja, Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...
  4. Erythrocyte

    Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

    Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro nyumbani kwao kwa Upekuzi., Kesi yao hii ya Uchochezi ilipangwa kuanza leo kwenye Mahakama ya Kisutu...
  5. Erythrocyte

    Kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki inayowakabili Boniface Jackob na Malissa kuendelea Mahakama ya Kisutu

    Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024 Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake. PIA SOMA - Boniface Jacob na Godlisten Malissa...
  6. Erythrocyte

    Pre GE2025 Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
Back
Top Bottom