Wakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!"
Nilivyoona wanakaribia, nikajipanga mtoto wa watu. Spidi nikaongeza huku nikiwa makini kama mwanasayansi anayesubiri tafiti yake ikamilike ndani ya sekunde. Asalaleeee! Si wakafika kenge...