Wadau mwenye uelewa wa sheria za nactvet. Hivi ni lazima kwa wanafunzi wa certificate na diploma kulipa ada ya mahafali ndio wafanye mitihani.
Baadhi ya wanafunzi wamezuiliwa kufanya mitihani yao licha ya kulipa ada na ada ya mitihani huku chuo kikisema sheria ya shule lazima ulipe ada ya...