Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING
sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni utaalamu wa kusanifu ndio unaoamua jengo lako liwekwe - kitaalamu huitwa LANDSCAPE DESIGN
Hapa...
Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti
(Sio michango)
Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini wanafika au wanatakiwa kufika ibadani katika misikiti au makusanyiko ya kiibada, na hapo ndipo mahala...
Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe.
Musk says his dream of...
Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe.
Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini.
Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu!
Sawa...
DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan.
Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge?
Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona...
Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako.
Fanya backup!
Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote.
Tahadhari na factory reset...
Wanaukumbi.
ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸
Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba,
"Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe.
Tovuti ya NTV ya nchini humo imesema mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kutekeleza mauaji hayo kwa...
Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee akaenda akampa jamaa.
Iliniuma sana. Kila nilipokuwa nikifikiria machozi yalikuwa yananitoka kuwa...
Habari za leo
Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya.
Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise)
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo.
Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote.
Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.
Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.
China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
Habari za hapa wanajamii forum!!
Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.