Wakuu habari za majukumu, bila kupoteza mda ningependa wale wataalamu wa ujenzi wanisaidie kufanya makadirio ya kuzungushia uzio wa kiwanja changu, kiwanja changu kina size ya 45m x 25m na naplan kukizungushia uzio wa tofali, nimepanga kupiga msingi na kupandisha juu course 3 tu ili kukilinda na...