Ndugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
Wimbi la vijana kupenda kuishi mijini hasa kwenye miji mikubwa lipo Duniani kote na hii ni kutokana na ukweli kuwa mijini kuna fursa nyingi zinazofanya matajiri wengi kutengenezwa huko.
Pamoja na ukweli huo ila unatakiwa mjini uishi KIMKAKATI la sivyo utakuwa mjini ndio ila kusindikiza tu...
Hebu mtazame hapa huyu mwamba Deng Xiaoping katika ziara zake baada ya kuipokea China iliyokuwa imechoka vibaya katika miaka ya mwisho ya Mao.
Deng alifanya ziara muhimu kwa wakati ule kwa majirani zake waliokuwa wamewaacha China mbali sana kama Thailand, Singapore, Japan, Malaysia
tazama...
Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.
TABIA za ukosefu...
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.
Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.