kuzurura usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini ukiwa mzururaji wa kutembea kwa miguu usiku utakamatwa na polisi haraka sana kuliko mzururaji anayetumia gari?

    Hawa wote ni wazururaji tofauti yao huyu mmoja anazurura akitumia miguu yake huku huyu mwenzie yupo ndani ya gari. Hawa wote ni wazururaji promax. Kama uzururaji ni uhalifu basi hawa wote ni wahalifu. Sasa inakuwaje huyu mwenda kwa miguu anashtukiwa na kutupwa kwenye karandinga chap wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…