Nipo likizo Kahama. Jana jioni rafiki yangu alinunua chupa mbili kubwa za Pombe ya KVant kwenye duka la jumla hapa Mjini. Tulipoanza kutumia nikagundua zina ladha tofauti. Na kweli tulipochunguza zile lebo tukagundua zina utofauti na KVant original.
Tulipozirudisha dukani muuzaji akatutisha...
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.