MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni.
Kukataa kiapo muhimu katika muktadha wa ndoa ya Kikristo, ambacho kinasisitiza uvumilivu katika changamoto za...