Jumla ya migogoro 21 ya ndoa imeripotiwa katika vituo vya polisi mkoani Mwanza kuanzia Oktoba Mosi hadi 23, mwaka huu, huku wivu wa mapenzi, usaliti na changamoto za kiuchumi zikitajwa miongoni mwa sababu zinazochangia migogoro hiyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema...