Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi
Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani).
Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma.
TIBA KINGA YA MALARIA KWA WAJAWAZITO (SP)
Malaria wakati wa ujauzito ni hatari zaidi kwa mama na mtoto aliye...
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi.
Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake.
DALILI...
Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20.
Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16,
Dozi ya...
Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu.
Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.