Diwani aliyepata cheo kwa kuziendea kinyume ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, nataka atoke hadharani akanushe. Naomba machawa mwambieni.
Diwani feki feki atoke hadharani, ahimize watu kufuata sheria, kisha nimpatie vidonge stahiki vya kumeza.
Diwani, toka hadharani ukanushe wewe na...