Habari zenu,
Nipo nasikiliza nyimbo za mwanamuziki kutokea nigeria "wizkid",ukiangalia jamaa anakubalika sana lakini mi naona kama diamond kamzidi jamaa vitu vingi sana,nkianza na uimbaji wake mbona wizkid ata habadiliki nyimbo zote staili ni ile ile ya kupooza ata hamna nyimbo za kuruka ruka...