kwani

Kwani? (Sheng for so what?) is a leading African literary magazine based in Kenya that has been called "undoubtedly the most influential journal to have emerged from sub-Saharan Africa", although that tribute might more accurately go to Transition Magazine, which was founded in Kampala, Uganda, in 1961. The magazine grew out of a series of conversations that took place among a group of Nairobi-based writers in the early 2000s. Its founding editor, Binyavanga Wainaina, spearheaded the project shortly after winning the 2002 Caine Prize for African Writing. The first print issue of the magazine was published in 2003. Kwani? has been called "the most renowned literary journal in sub-Saharan Africa". It is produced by the Kwani Trust, which is "dedicated to nurturing and developing Kenya’s and Africa’s intellectual, creative and imagination resources through strategic literary interventions".Kwani?, which receives significant funding from the Ford Foundation, has become a major platform for writing from across the African continent. It has served as a launching pad for the careers of several writers, including Yvonne Adhiambo Owuor, winner of the 2003 Caine Prize; Uwem Akpan, author of the bestselling short-story collection Say You're One of Them, and Billy Kahora, now the magazine's managing editor. Each edition of the journal contains up to 500 or more pages of new journalism, fiction, experimental writing, poetry, cartoons, photographs, ideas, literary travel writing and creative non-fiction. The seventh edition of Kwani? "is subtitled 'Majuu' – a sheng (street slang) reference to 'overseas' – and is a 570-page testament to the journal's diasporic roots."

View More On Wikipedia.org
  1. Kwani akishinda 2025 ndio uthibitisho kuwa anakubalika? Mmesahau Jakaya alivyopigika 2010 akabaki kusingizia udini

    Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika. Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi. Kura huwa zinaibiwa na kuchakachuliwa kila kukicha. Je, uchaguzi wa 2010? Mmesahau aliyeshinda alikiri...
  2. M

    Kwani utajiri unamfuata mtu mwenye bahati au mchapakazi?

    Habari zenu wakubwa, Naomba kuuliza hivi mpaka mtu anafanikiwa kwenye biashara zake na kuwa tajiri mkubwa kama akina Mo, Bakresa huwa inatokana na uchapakazi huu huu tulionao ata sisi au ni bahati tu ya mtu inahusika kumwinua aufikie utajiri?
  3. Haya matuta kwenye barabara lengo lake nini?

    Habari. Haya matuta kwenye barabara lengo lake nini? Magari yanapita kwa spidi kama kawaida, na mbaya zaidi Lori kubwa zikiwa na mzigo wa tani30+zinafukia tu hatari kwa waenda kwa miguu na nyumba za pembeni yani unaona hadi zinatikisika, lengo la kuweka matuta nini?
  4. Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  5. Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja zinatisha halafu unashtuka unasema "duh hii ndoto hii!". Unarudi kulala unafikiri itapita; kumbe...
  6. Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  7. K

    Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

    Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
  8. Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  9. Michezo ipo mingi ila mna ng'ang'ania mpira. Kwani ndio mchezo pekee mnaoujua?

    Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa. Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu. Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
  10. C

    Ahmed Ally kwani nawe huwezi kuchambua mpira kama ali kamwe tunayemsikia sasa ufm akichambua mechi za afcon?

    wewe bung'aa bung'aa tu na ukomedi wako wa kila ukihojiwa wakati mwenzako ali kamwe kuna value fulani hivi anaiongeza na credits kadhaa kuzipata kwa sasa kuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano ya afcon kwa kualikwa na azam media / ufm
  11. Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  12. D

    Pre GE2025 Kwani Rais Samia si aliapa kulinda Katiba? Maandamano ni HAKI ya Kikatiba

    Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli? Jeshi letu mbona liko tofauti na majeshi mengine duniani...
  13. Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  14. R

    Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

    1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena. 2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli...
  15. Kwani wanawake kuna ulazima gani kutugaia umbea wenu wa mtaani tukiwa ndani??

    sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna...
  16. Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  17. Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi.. ===== Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
  18. F

    Chukua kadi ya Chadema sasa hivi kwani yajayo ni matamu!

    Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
  19. Nilishauri Shamba la Mbagala tusilitumie kwani lina Nuksi na 'Citizens' wameshalizindika mno 'Kindumba' hamnielewi tu

    Sijui mnataka GENTAMYCINE niwe nawashauri vipi ili muwe mnanielewa na mfuate ninachowaambia. Yaani kila nikiwashtua mapema Wakulima wa Nyika ili msiumie huwa mnanipuuza. Na Wakulima wa Nyika tuna bahati sana leo kwani Nyuki Wakali waliotukamia kisawasawa, ila kwenye Vyura na Ice Cream huwa...
  20. Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa. Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme linatafutwa. Eti wa maji ni mgumu wanatafuta wa jua!!! Halafu wengine wanasema wanataka wa upepo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…