Wakuu niende kwenye hoja direct sipendagi mambo mengi.
Wakati huu ambao Wakenya asilimia 73% wa raia wake wanafanya majaribio kuondoa uchafu serikalini sote macho na Media zote ziko Jamhuri yawatu wa Kenya.
Nilikutana na watu kadhaa wakiisifu sana sgr yet. Niseme tu asanteni wasimamizi wa...