Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la singo mama, wanawake ambao wapenzi wao wamewazalisha kisha wamewaacha, wengine wana mtoto mmoja, wawili mpaka watatu. Lakini pia siku hizi kumekuwa na vijana wengi ambao kimsingi walipaswa kuwa kwenye ndoa wawe na watoto kadhaa, ila wapo mtaani tu na wengi...