kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  2. CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  3. 1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  4. Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Wakuu habari. Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu. Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu. Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000. Niliweka oda na...
  5. Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

    Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu. Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je...
  6. Jadon Sancho azuiwa kutumia vifaa vyote vya kikosi cha kwanza Man United

    Jadon Sancho Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
  7. Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

    Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa . Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya...
  8. Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

    Je, ipi ni ngazi sahihi kwa mujibu wa mtaala kwa mtoto kufundishwa hesabu za kutoa kwa mtindo wa kukopa?
  9. Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
  10. Kundi lingine la mamluki laanza kumgomea Putin, hawa kwanza ni NAZI kabisa

    Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni. Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa neo-NAZI, sasa hawa hapa walikua wanampigania na kumsaidia kama ilivyokua kwa wale wa Wagner...
  11. Ulikuwa mpango wa Mungu kuhakikisha Magufuli anakuwa Rais kwanza ndio afariki

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli alivyokuwa raisi na baadae kufariki. Ni hivi.. kabla ya hayati John P. Magufuli kuwa raisi wa JMT, nchi...
  12. Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  13. Finance and Administration Volunteer at DIGNITY Kwanza

    Position: Finance and Administration Volunteer Job Type: Full Time Reporting: Directly to Finance and Admin Manager DIGNITY Kwanza – Community Solutions (DIGNITY Kwanza) is a national not-for-profit organization registered in Tanzania under the NGOs Act of 2002 as amended in 2005, with...
  14. Sijaelewa kabisa jinsi Arajiga alivyotoa faulo iliyozaa goli la kwanza Yanga leo

    Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo. Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua password leo. Lakini Arajiga akaaamua kuzifungua. Alifungiwa mechi ya Yanga vs Azam Leo Tena anafanya...
  15. Helikopta ya kwanza ya Zimamoto kununuliwa

    Serikali imesema imepanga kufanya maboresho makubwa katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ikiwa ni juhudi za kupambana na athari za majanga pindi zitokeapo ajali mbalimbali ikiwemo ajali ya moto ili kuweza kuokoa mali na maisha ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania itanunuliwa...
  16. Ukraine wajongea kwenye ngome ya pili ya Warusi baada ya ushindi kwenye ngome ya kwanza

    Warusi wanaendelea kufukuziwa licha ya kujichimbia na kuwekeza nguvu kubwa kwenye kufukia mabomu kote kote, Ukraine hawachoki, wanapiga kwa matumizi ya HIMARS, storm shadows na madubwana mengine yote.... As observed by ISW’s military analysts, Ukrainian forces have made additional and...
  17. Nilivyokula tunda kwa mara ya kwanza

    Wana JF shusheni visa vyenu kuhusu jinsi ulivyokula tunda kwa mara ya kwanza na ulifanyaje
  18. A

    DOKEZO TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
  19. Mwl. Wema akamatwe kwa kumpoteza Mwanafunzi Warda Mohamed

    Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne...
  20. Mpe neno mwanaume aliyekupa mimba yako ya kwanza

    Wamama mliozalishwa mtoto wako wa kwanza. Ebu mpe neno huyo mwanaume aliyekupa hiyo mimba ya mtoto wako wa kwanza!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…