Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo:
1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea.
Pia nimenunua water boiler ya lita 30, hivyo nachemsha maji, nayachuja na kitambaa kisafi cha nailoni, yakipoa...