Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri.
Mimi naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.