Watu wengi wanafikiri ushirikina ni kuabudia mizimu na kwenda kwa waganga kutambika tu.
Lakini ukweli ni kwamba hata kumuhusisha mwanadamu na mambo yanayohusu kudura na uweza wa mwenyezimungu ni ushirikina vilevile.
Tena huu ndio ushirikina mbaya maana unahusisha dhati na uwezo wa...
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi.
Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga...
Salam,
Katika maisha kuna wakati unapitia mambo magumu sana mpaka unataka kukata tamaa, na ukiwa katika hali hiyo washauri wanakuwa wengi lakini huwezi kukosa mtu mmoja atakaye kwambia "Jaribu kuangalia upande wa pili", "Nenda kwa mtaalam, sio bure wewe umerogwa."
Hali hiyo nimeipitia kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.