Salam,
Katika maisha kuna wakati unapitia mambo magumu sana mpaka unataka kukata tamaa, na ukiwa katika hali hiyo washauri wanakuwa wengi lakini huwezi kukosa mtu mmoja atakaye kwambia "Jaribu kuangalia upande wa pili", "Nenda kwa mtaalam, sio bure wewe umerogwa."
Hali hiyo nimeipitia kipindi...