Watanzania tuna mazingira mazuri sana ya kupiga hatua kwenda mbele zaidi ya hapa tulipo.
Lakini tatizo letu ni nidhamu katika maisha yetu, kila kitu kinafanyika kiholela holela hakuna njia thabiti za kuhakikisha sheria na taratibu zote zinafuatwa.
Barabarani bodaboda hawana nidhamu, na hakuna...