kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Una Mpango wa kwenda Dubai hivi karibuni? Haya ndo masharti unatakiwa kufahamu ili uweze kufurahia safari iliyo salama

    Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani 2. Pia...
  2. Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  3. Ni hatari sana kwenda au kuishi Kariakoo

    Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa ni ya mchongo, huwa wanaweka load kubwa sana huko magorofani. Kuna uwezekano mkubwa sana magorofa...
  4. I

    Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

    Hakika hawa machawa wa mama Kizimkazi wanatuona Watanzania bado ni wajinga sana! Omary Mjenga ni mwanadiplomasia Mwandamizi na Mtendaji Mkuu wa National Defense College leo ametetea Rais Samia kutumia ndege ya ATC aina ya Boeing Dreamliner yenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 100 kibiashara...
  5. R

    Je, yapo majengo mangapi Kariakoo yaliyoongezwa kwenda chini (underground floor) na wamiliki?Wanaofanya haya wanapewa kibali na serikali?

    Baada ya kuanguka ghorofa huko Kariakoo chanzo kinadai mmiliki alitaka kuchimba chini ajenge underground floor kwa ajili ya kuongeza fremu za biashara. Naamini huyu siyo mmiliki wa kwanza kufanya hivi, amefuata nyayo za wamiliki wengi waliotangulia. Naamini pia kwamba majengo yaliyochimbwa...
  6. K

    Tanzania inaweza kwenda vizuri zaidi tusikubali tulipo!

    Ndugu zangu hii nchi yetu haitakiwi iwe hivi ilivyo sasa. Kuna Watanzania wengi wajanja na wabunifu na Mungu katupa mengi. Sasa inashangaza kama wananchi tunakubali tu mambo ya ajabu ajabu yaendelee nchini kama vile hayatuhusu. Tuache kwa mara moja kufikira sisasa na kufikiria nchi. Mfano...
  7. Naomba msaada wa kufika Ulaya

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.
  8. Tanzania ni kubwa,ishi mahali popote ulipokuwa ukifanyia kazi kuliko kwenda kuishi kwenu,utadharirika!

    Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?" Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui! Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha upya pindi wanapostaafu! Tanzania yetu ni kubwa mno na hamna haja wastaafu kurudi mkoani kwenu...
  9. China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

    Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao. Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo inaaminiwa kua ni 6th gen yao ya kwanza katika ulimwengu wa Fighters. Chuma ina uwezo wa kwenda...
  10. R

    Muamala kutoka CRDB kwenda NBC unachukua muda gani?

    Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga customer care NBC wakasema muamala haujawasili. Namuuliza mdada wa customer care kwa kawaida...
  11. Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

    Wanabariki utekaji. Wanabariki uuwaji. Wanabariki wizi wa kura. Wanabariki majina feki. Wanaiba hela za umma. Wanafitinisha jamii. Wanadhulumu maskini. Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
  12. Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  13. Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

    Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022 Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi. Mbeya to Moshi Tuwasiliane.
  14. Wakandarasi wa Barabara ya Mpanda kwenda Kigoma na Sitalike kwenda Kibaoni wako wapi?

    Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama? Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
  15. Kati ya Mbeya na Mwanza, wapi patanifaa kwenda kuanza maisha?

    Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha? Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote...
  16. Wakuu niko natoka Kigoma kwenda mwanza!! Niwekeeni story ya kutembea nasoma

    Wakuu, Iwe kuhusu vita migogoro, Visa katika utafutaji Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
  17. Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  18. Ndege ya Air Tanzania kutoka Mumbai yapata hitilafu, safari yaahirishwa hadi Novemba 6, 2024

    MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi. Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
  19. Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

    Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara. Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km. Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
  20. G

    Jipange upya, Milioni 10 haitoshi kabisa kwenda China na kutengeneza faida

    Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako. Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china. Ata uwe na connection Passport na Visa ni zaidi ya laki tatu... ( 300,000) Nauli ya ndege kuja na kurudi 2.5 _3M ( kutegemea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…