Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika.
Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na wimbo wa kihindi na kuuleta kwenye mahadhi ya kisingeli cha bongo.
Wimbo ni hatari unaitwa TERA...