Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, Diodes Ngaiza amesema, watu watano wamethibitika kufariki kutokanana na ajali kati ya basi la Kyela Express na basi dogo aina ya Toyota Coaster, huku majeruhi wakifikia 31.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Jumanne Oktoba 11, Dk...