kyela mjini irekebishwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini irekebishwe, kuna sehemu zina mashimo mengi

    Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini imegeuka kero kwa watumiaji kutokana na barabara hiyo kujaa mashimo ya muda mrefu, pia kumekuwa na matukio ya ajali zitokanazo na mashimo hayo, Watumiaji wengi tunajiuliza kwa nini Serikali kupitia TANROADS hawalifanyi kazi hili tatizo? Tunaumia sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…