CHANZO CHA LAANA YA WATU WA UKOO WENU KUFA MAPEMA KABLA YA UZEE. UKOO WENU KUKOSA WAZEE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna baadhi ya familia au koo ni Jambo la kawaida watu Kufa kabla ya Uzee. Yaani unakuta asilimia tisini ya watakaozaliwa kwenye familia au ukoo huo watakufa wakiwa chini...
Karibu binti na mwana wa Afrika.
Moja ya maeneo ambayo yanasumbua na kutesa watu, ni mahusiano, hasa katika mapenzi au ndoa.
Kujiua, kuuwa, kukata tamaa, uraibu, ulevi, uzinzi, roho mbaya, utapeli, wizi, uongo, na maovu mengi husababishwa na Mahusiano au ndoa.
Hakuna siku itaisha na...
LAANA YA FAMILIA.
Karibu binti na mwana wa Mama Afrika.
Mtu au Familia Fulani zina laana au mikosi fulani ambayo, ukiifuatilia unaweza gundua ni jambo la kurithi au la kizazi na kizazi.
Pengine linaweza kuonekana ni jambo la kawaida sababu huwa lazima limkute au limtokee yeyote au mtu fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.