Rapa Kendrick Lamar ameandikisha nyimbo mpya 30 ktk taasisi ya kusimamia haki za kazi za sanaa za wasanii nchini Marekani ikiwa ni matayarisho ya kutoa album yake ya mwisho chini ya lebo ya TDE [Top Dawg Entertainment]. Nyimbo hizo ni pamoja na 'Feel For You', 'End of the Line', 'Erika Kane'...