Laika, mbwa wa kwanza kufika anga za juu za dunia.
Mbwa huyu ndiye alikuwa kiumbe wa kwanza anayeishi kufika katika nzingo wa dunia, safari hiyo ikifanikishwa na chombo cha anga za juu cha nchini Urusi, kwa kutumia mfano wa satelite ya majiribio ya kisoviet Sputnik 2 mnamo novemba 3, 1957...