lambalamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Watu watatu washikiliwa kwa tuhuma za kuwa ni "Kamchape"

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. ERICK S/O SINKALA [33] Mkazi wa Ilembo - Sumbawanga 2. SAID ERNEST MIHAYO [41] ña 3. AMOS BENARD NYANZANDU [25] wote wakazi wa Mbagala D’Salaam kwa tuhuma za kupiga ramli chonganishi @ lambalamba kwa lengo la kujipatia pesa isivyo...
  2. Sildenafil Citrate

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku Kamchape (Lambalamba), kuwasaka wote wanaohusika ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao

    / Hivi karibuni kumejitokeza wat wanajulikana kama Kamchape au Lambalamba wanaoendekeza imani potofu za kishirikina wakiidai wanao uwezo wa kufichua wachawi kitendo ambacho ni uhalifu.Watu hawa wameitokeza na kufanya uhalifu huo katika Mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa na Songwe. Mbinu wanayotumia...
  3. Frumence M Kyauke

    Mapokezi ya lambalamba za benki kwa baadhi ya wananchi

    Wadau mapokezi ya tozo za benki kwa wananchi yamepokelewa kwa namna tofauti, hivi sasa tunavyozungumza wapo baadhi ya wananchi wameshasafisha account zao za benki na kupeleka fedha zao kusikojulikana na kuacha account zao nyeupe kabisa wakihofia lambalamba.
  4. amu

    INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza lambalamba

    Habari nauza mashine hiyo hapo. Kwa ajili ya kutengeneza lambalamba ni ya kubeba na kuanza kazi inauwezo wa kubeba tray moja ya pieces 40 na mzigo unaganda baada ya dakika 15. Uzuri wa hii mashine haichukui nafasi kubwaunaiweka sehemu yoyote. Inapatikana DSM Pugu Zinauzwa sh 850,000 zote mbili...
  5. K

    Nauza mashine ya icecream (lambalamba za vijiti), freezer na madeli

    Wakuu habari zenu. Nauza mashine ya chostic zile za kulamba (za vijiti) kama za Azam. Mashine bei ni Million 1, vikopo vyake ni 270 kila kimoja. Inagandisha chostic 80 ndani ya dakika 20. Pia nauza freezer la kioo (heavy duty), bei laki 7. na madeli nauza 65,000 kila moja na yako madeli...
Back
Top Bottom