Wizara ya Ardhi inakushauri usijaribu kufanyia lamination hati yako ya umiliki wa ardhi kwa sababu inaweza kukwamisha wakati wakuuza ardhi husika, kukopa au kufanya transfer yoyote.
Ndugu wananchi tunaomiliki ardhi tuchukue ushauri huu na kuufanyia kazi una manufaa makubwa kwetu wamiliki na...