land rover ya sugal mohamed

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Land Rover ya Sugal Mohamed iliyomtorosha Nyerere asikamatwe

    MZEE SUGAL MOHAMED ALIVYOMTOROSHA MWALIMU NYERERE ASIKAMATWE NA MAKACHERO na Guled Issa Mzee Sugal Mohamed ni moja ya majina ya mashujaa yanayopaswa kuingia katika historia ya mashujaa waliojitolea katika kuwakinga viongozi wa harakati za uhuru wasidhalilishwe na wakoloni wakati wa kupigania...
Back
Top Bottom